Home
Unlabelled
New castle 3 Man U nunge! Poleni sana. Ops! Vifo vya wengi ni harusi....
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mwosha Huoshwa!
ReplyDeleteUnaweza kuwa Dakitari Bingwa wa mifupa na wewe ukaugua 'Busha' itabidi uonane na Mtaalamu wa aina hiyo na wewe Unashushwa Mshipa tena BILA GANZI!
Omba usiugue!
Kila DAKITARI nae ana DAKITARI wake!
Hii kweli ligi bora, hakuna kibonde!
ReplyDeleteHapa BAO la Cabaye linavyoingia ni kama siku ile unavyoshuhudia Ngariba wa Jadi (anayetumia kisu badala ya mkasi wa Hospitali),,,huku mwanao akiwa amelazwa chali ktk gunia au ngozi ya mbuzi, Ngariba wa Jadi akimzamisha kisu mwanao mpenzi wa kiume kumtahiri!
ReplyDeletemimi man u lakini jana tulichalazwa kama tumesimama kwa mpira ule ukweli ubingwa hatuna jana tungepingwa kipigo cha mbwa mwizi hata saba lakini man u daima mbele ila tumedokolewa
ReplyDeleteYaani nilikuwa na furaha sana maana wadogo zangu ni Man U so walikuwa wametapa kuwa nisubiri kipigo cha mbwa mwitu maana timu yangu (New Castle) ni uoza...... So walirudi vichwa chini.....maana washabiki wa Man U wanamidomo sana na kuchonga.... Sasa nawauliza mchezaji wao Roonie alikuwa kasimama au teh teh teh... ndo mpira....
ReplyDeleteNaomba pia mnijuze wana New Castle hapa dar wanakutania wapi?
Ndimi Mhenga
KINACHONIUDHI NI KUONA TIMU KAMA WOLVES NA ASTON VILLA ZINAJILAZIMISHA KUFUNGWA NA HAWA MASHETANI WA TRAFFORD. MIMI SIKU NYINGI NIMEBAINI HAWANA LOLOTE HAWA, SANA SANA MBELEKO ZA MAREFA NA MAKOCHA WA TIMU ZINAZOWASHABIKIA. WANAONA RAHA KUFUNGWA NA FERGUSON. UKWELI TIMU YAO MWAKA HUU MAGARASA KIBAO. WATAIPATA FRESH, LIGI BADO MBICHI!
ReplyDeleteNafasi 4 za juu ni Man U, Chelsea, Arsenal na Liverpool. Hao Man City na Totenham hizo nafasi siyo zao watadondoka tu.
ReplyDeleteHabari ndo hiyo,sikilizeni machungu,si mlifikri nyinyi ndo mnajua soka.Hapo vipi jipangeni tena imetoka hiyo.
ReplyDeletepiga hao mbwa mwitu....na bado!!!
ReplyDeleteMichuzi acha ufisadi wa habari!mbona wengine wakifungwa huwaweki kwenye orodha ya matukio ila sisi watemi wa kijiwe tukijeruhiwa kidogo tu wewe unakuwa kimbelembele kuturusha hewani.
ReplyDeleteDa,kweli premier league kali.Man U are not good enough this time.
ReplyDeleteHivi kuna timu nyingine ilipigwa kibano sawa wiki hii,nani mwenye kumbukumbu?
NGEDE ni NGEDE tu!
ReplyDeleteMtu hasa mkubwa akisha gandamizwa ''mnemba'' atatoa visingizio kibao!
Hebu angalia pale Mtaani anapoumbuliwa JEBA kwa kupigwa na DOGO lazima atatoa visingizio kibao, ohhh unajua amenivizia,
DAIMA MKUBWA HAKUBALI KIPIGO!
Ahhh haiwezekani LAZIMA TURUDIANE!
Anon Thu Jan 05, 11:38:00 PM 2012 WEWE HUNA LOLOTE UNATAKA KUMTANIA ANKAL TU LOL MDAU KUMBUKUMBU NINAYO LIVERPOOL WALICHAPWA TATU BILA(3-0)KWA MANCHESTER CITY
ReplyDeleteMrudiane mara ngapi? Ligi ilipofungwa msimu uliopita mlilazimisha droo, mkakimbizwa weee, juzi tena drooo leo kichapo pamoja na refa wenu wa kuwabeba, alivyokataa ile penalt ya yule mzee aliyenyang'anywa mpira na Ngassa alidhani amewasaidia! Hahahaaaaa, kichapo kinakera...mtazoea tuu
ReplyDelete