Cabaye anapiga bao la pili...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Mwosha Huoshwa!

    Unaweza kuwa Dakitari Bingwa wa mifupa na wewe ukaugua 'Busha' itabidi uonane na Mtaalamu wa aina hiyo na wewe Unashushwa Mshipa tena BILA GANZI!

    Omba usiugue!

    Kila DAKITARI nae ana DAKITARI wake!

    ReplyDelete
  2. Hii kweli ligi bora, hakuna kibonde!

    ReplyDelete
  3. Hapa BAO la Cabaye linavyoingia ni kama siku ile unavyoshuhudia Ngariba wa Jadi (anayetumia kisu badala ya mkasi wa Hospitali),,,huku mwanao akiwa amelazwa chali ktk gunia au ngozi ya mbuzi, Ngariba wa Jadi akimzamisha kisu mwanao mpenzi wa kiume kumtahiri!

    ReplyDelete
  4. mimi man u lakini jana tulichalazwa kama tumesimama kwa mpira ule ukweli ubingwa hatuna jana tungepingwa kipigo cha mbwa mwizi hata saba lakini man u daima mbele ila tumedokolewa

    ReplyDelete
  5. Yaani nilikuwa na furaha sana maana wadogo zangu ni Man U so walikuwa wametapa kuwa nisubiri kipigo cha mbwa mwitu maana timu yangu (New Castle) ni uoza...... So walirudi vichwa chini.....maana washabiki wa Man U wanamidomo sana na kuchonga.... Sasa nawauliza mchezaji wao Roonie alikuwa kasimama au teh teh teh... ndo mpira....
    Naomba pia mnijuze wana New Castle hapa dar wanakutania wapi?
    Ndimi Mhenga

    ReplyDelete
  6. KINACHONIUDHI NI KUONA TIMU KAMA WOLVES NA ASTON VILLA ZINAJILAZIMISHA KUFUNGWA NA HAWA MASHETANI WA TRAFFORD. MIMI SIKU NYINGI NIMEBAINI HAWANA LOLOTE HAWA, SANA SANA MBELEKO ZA MAREFA NA MAKOCHA WA TIMU ZINAZOWASHABIKIA. WANAONA RAHA KUFUNGWA NA FERGUSON. UKWELI TIMU YAO MWAKA HUU MAGARASA KIBAO. WATAIPATA FRESH, LIGI BADO MBICHI!

    ReplyDelete
  7. Nafasi 4 za juu ni Man U, Chelsea, Arsenal na Liverpool. Hao Man City na Totenham hizo nafasi siyo zao watadondoka tu.

    ReplyDelete
  8. Habari ndo hiyo,sikilizeni machungu,si mlifikri nyinyi ndo mnajua soka.Hapo vipi jipangeni tena imetoka hiyo.

    ReplyDelete
  9. piga hao mbwa mwitu....na bado!!!

    ReplyDelete
  10. Michuzi acha ufisadi wa habari!mbona wengine wakifungwa huwaweki kwenye orodha ya matukio ila sisi watemi wa kijiwe tukijeruhiwa kidogo tu wewe unakuwa kimbelembele kuturusha hewani.

    ReplyDelete
  11. Da,kweli premier league kali.Man U are not good enough this time.
    Hivi kuna timu nyingine ilipigwa kibano sawa wiki hii,nani mwenye kumbukumbu?

    ReplyDelete
  12. NGEDE ni NGEDE tu!

    Mtu hasa mkubwa akisha gandamizwa ''mnemba'' atatoa visingizio kibao!

    Hebu angalia pale Mtaani anapoumbuliwa JEBA kwa kupigwa na DOGO lazima atatoa visingizio kibao, ohhh unajua amenivizia,

    DAIMA MKUBWA HAKUBALI KIPIGO!

    Ahhh haiwezekani LAZIMA TURUDIANE!

    ReplyDelete
  13. Anon Thu Jan 05, 11:38:00 PM 2012 WEWE HUNA LOLOTE UNATAKA KUMTANIA ANKAL TU LOL MDAU KUMBUKUMBU NINAYO LIVERPOOL WALICHAPWA TATU BILA(3-0)KWA MANCHESTER CITY

    ReplyDelete
  14. Mrudiane mara ngapi? Ligi ilipofungwa msimu uliopita mlilazimisha droo, mkakimbizwa weee, juzi tena drooo leo kichapo pamoja na refa wenu wa kuwabeba, alivyokataa ile penalt ya yule mzee aliyenyang'anywa mpira na Ngassa alidhani amewasaidia! Hahahaaaaa, kichapo kinakera...mtazoea tuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...