Baadhi ya wahitimu wa Chuo cha Ufundi cha Arusha (Arusha technical College- ATC), Bi. Suzan Mnafe akitoa hotuba fupi katika mahafali ya Tatu ya 
 Mwenyekiti wa Bodi ya ATC, Bi. Suzan Mnafe akitoa hotuba fupi katika mahafali ya Tatu ya chuo hicho 
 Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Mhandisi Dkt. Richard Masika aklitoa Hotuba yake katika mahafali ya Tatu ya chuo hich
 Mgeni rasmi  Waziri mkuu  Mhe. Mizengo Pinda akiwatunuku wahitimu wa chuo cha Ufundi Arusha (ATC) stashahada za Ufundi Sanifu wahitimu
Mkuu wa Karakana ya Mitambo ya Chuo cha Ufundi Arusha, Bw. Hamisi Mwahu akitoa Maelezo Fundi kuhusu Karakana ya Mitambo kwa Mhe. Mizengo Pind

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...