Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwezeshaji na Uwekezaji) Dk. Mary Nagu (Mb) akiwasha jiko la Gesi mara baada ya kuzindua rasmi vikundi vya Akiba na mikopo kukopeshana majiko ya Gesi, katika viwanja vya Kidongo Chekundu, Mnazimmoja Dar es Salaam jana, katikati ni mwenyekiti wa Jumuiya ya kukuza Uchumi Manisipaa ya Ilala (JUKUILA), Musa Salum. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Home
Unlabelled
mpango wa kukopeshana majiko ya gesi dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
ni jambo la kumuunga mkono mheshimiwa waziri Dk Mary Nagu. pia tunaomba ili mikopo hii iwe ya tija iangaliwe bei ya gesi ili kufanya mikopo hii ipate ufanisi.
ReplyDeleteAlhaj Anzuruni Mungula nimefurahi kukuona ukiwa front line na Mheshimiwa Mary Nagu mkimsapoti kijani wetu Musa Salum kwenye hiyo project.
ReplyDeletetataizo siyo majiko ya gesi jamani, tatizo ni hiyo gesi yenyewe iko wapi ?? hilo jiko hatimaye litajaa kutu au mavi ya panya maana halitatumika , huyo waziri angeenda kwanza huko songo songo kuuangalia huo mradi wa kuzalisha gesi VIPI ?? mbona gesi iko juu sana kiasi cha kushindana na umeme -moja kati ya hizi nishati sharti iwe bei ya chini. Zebedayo
ReplyDelete