Rais Jakaya Kikwete akiwa na Rais Mstaafu Mh Benjamin Mkapa, Waziri Mkuu Mstaafu Mh Frederick Sumaye, Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Bara Mh Pius Msekwa na wao mbolezaji wengine kwenye mazishi ya Mwenyekitiwa Jumuiya ya Wazazi Taifa Balozi Athumani Mhina kijijini Mnyuzi, Korogwe, mkoani Tanga leo.
Rais Kikwete akiweka udongo kaburini.
Pole sana da Rahima na wanafamilia wote kwa msiba wa mzee wetu.
ReplyDelete