Mwenyekiti wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata (kushoto) akikabidhi box ya Maziwa kwa Makamu Mwenyekiti wa Feed and Tend International (FTI),Bw. Joseph Jacob (kulia) leo hii,ikiwa ni sehemu ya msaada wa vyakula,maziwa,matunda,mavazi na magodoro kwa watoto Yatima wa kituo cha FTI Masumbwe.Wengine Pichani ni Sehemu ya Watoto hao.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata (katikati) akikabidhi moja ya magodoro kwa Makamu Mwenyekiti wa Feed and Tend International (FTI),Bw. Joseph Jacob (kushoto) ikiwa ni sehemu ya msaada wa vyakula,maziwa,matunda,mavazi na magodoro kwa watoto Yatima wa kituo cha FTI Masumbwe.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata (kushoto) akikabidhi Maziwa ya kopo kwa baadhi ya Watoto wa Kituo cha Feed and Tend International (FTI) ikiwa ni sehemu ya msaada wa vyakula,maziwa,matunda,mavazi na magodoro kwa watoto Yatima wa kituo cha FTI Masumbwe.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Victoria Foundation,Bi Vicky Kamata (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na na baadhi ya watoto Yatima wa kituo cha FTI Masumbwe.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. huyu kamata hakuna kitu,asijifanye kua role model kwa wanawake wakati tunajua kua ni chakula cha mzee na kafika hapo kwa kutanua miguu,NONSESE

    ReplyDelete
  2. big up mamie
    katibu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...