Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Lloyd Nchunga (kati),Mkurugenzi Mtendaji wa NEDCO, Dk. Ambwene Mwakyusa (kushoto) pamoja na Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Mwesigwa Selestine wakisaini vitabu vya makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Yanga katika mtaa wa Twiga jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Yanga, Lloyd Nchunga (kulia) akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa NEDCO, Dk. Ambwene Mwakyusa kwa ajili ya makubaliano ya utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Yanga katika mtaa wa Twiga jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam.(Picha na Francis Dande).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nakuona "Mwesi" unaanguka mkwaju mzee wa Hall 7..Nitakutafuta kwenye simu.Hiyo 'Mastazi' yako ukiitumia vizuri inaweza kusaidia sana Klabu yetu.!!

    David V

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...