Visit Bab Kubwa - Bongo Flava Music from Tanzania, Swahili Hip Hop, at: http://www.babkubwa.com/?xg_source=msg_mes_network

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. ignore comment ya mwanzo ya bibi nk... kumbe fees ni kwa MWEZI na si kwa SIKU. macho hayana mfupa

    ReplyDelete
  2. "fluent in english" hata km hawana ujuzi wala elimu yoyote juu ya watoto mradi wanamwagika kimombo hiyo toooosha. jama km kuongea kiingereza ndio kuelimika,waingereza na wamarekani wasingeenda shule. mdau.

    ReplyDelete
  3. Anon wa pili usiwadharau Waingereza na Wamarekani kwa kuwa hawakusoma. Hawa jamaa kila kitu kimeandikwa kwa lugha yao kwa hiyo yeye akitaka kujua chochote anakwenda maktaba tu hahitaji mtu amsomeshe. Kwa ufupi TZ hapo raia wa kawaida hajui sheria kwani haikuandikwa kwa kiswahili. Sheria ya nchi yako mwenyewe imeandikwa kwa lugha za watu wengine na hata kama utaitaka hujui iko wapi utaipata. Niliwahi kuzungumza na kizee kimoja hapa UK nikamuuliza kama anaijua TZ akinieleza mambo yote ya TZ mpaka jinsi misaada inavyoliwa na viongozi wetu. Hawa jamaa elimu kwao sio shule pekee bali hata TV, gazeti, vitabu, radio na sasa internet!!

    ReplyDelete
  4. anon wa nne unaelewa anon wa pili anachoongelea!!!! hapo hakuna mwingereza wala mmarekani aliyedharauliwa. hebu elewa kwanza nini kinaongelewa ndio uanze kubofya,sio mradi tu utoe maoni.dah!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...