Visit Bab Kubwa - Bongo Flava Music from Tanzania, Swahili Hip Hop, at: http://www.babkubwa.com/?xg_ source=msg_mes_network
Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
ignore comment ya mwanzo ya bibi nk... kumbe fees ni kwa MWEZI na si kwa SIKU. macho hayana mfupa
ReplyDelete"fluent in english" hata km hawana ujuzi wala elimu yoyote juu ya watoto mradi wanamwagika kimombo hiyo toooosha. jama km kuongea kiingereza ndio kuelimika,waingereza na wamarekani wasingeenda shule. mdau.
ReplyDeleteduuuh!
ReplyDeleteAnon wa pili usiwadharau Waingereza na Wamarekani kwa kuwa hawakusoma. Hawa jamaa kila kitu kimeandikwa kwa lugha yao kwa hiyo yeye akitaka kujua chochote anakwenda maktaba tu hahitaji mtu amsomeshe. Kwa ufupi TZ hapo raia wa kawaida hajui sheria kwani haikuandikwa kwa kiswahili. Sheria ya nchi yako mwenyewe imeandikwa kwa lugha za watu wengine na hata kama utaitaka hujui iko wapi utaipata. Niliwahi kuzungumza na kizee kimoja hapa UK nikamuuliza kama anaijua TZ akinieleza mambo yote ya TZ mpaka jinsi misaada inavyoliwa na viongozi wetu. Hawa jamaa elimu kwao sio shule pekee bali hata TV, gazeti, vitabu, radio na sasa internet!!
ReplyDeleteanon wa nne unaelewa anon wa pili anachoongelea!!!! hapo hakuna mwingereza wala mmarekani aliyedharauliwa. hebu elewa kwanza nini kinaongelewa ndio uanze kubofya,sio mradi tu utoe maoni.dah!
ReplyDelete