Description: http://www.bongoradio.com/news_cont_img/dallasnyparty12.jpg
Sherehe hiyo ya kuuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2012 iliandaliwa kwa ushirikiano mkubwa na Watanzania waishio Dallas ambao ni Alvin Mchaga( katikati), Kitova Mungai kutoka Ngome Entertainment (kushoto) na Peter Kihwili (kulia).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hivi vazi hilo la juu kabisa linavaliwa katika mazingira gani. Mimi usafiri wangu ni daladala, tena za Mbagala. Linanifaa?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...