Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia jambo na Balozi wa Marekani nchini, Bw. Alfonso Lenhardt baada ya kufungua Mkutano wa majadiliano ya Kisera kuhusu Matumizi ya Umma na Wiki ya Umaskini kwenye ukumbi wa hoteli ya Blue Pearl - Ubungo Plaza jijini Dar es salaam.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo baada ya kufungua Mkutano wa Majadiliano ya Kisera kuhusu Matumizi ya Umma na Wiki ya Umaskini kwenye ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl- Ubungo Plaza jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...