Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex Malasusa, Ofisini kwake jijini Dar es salaam leo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hivi Tanganyika na Zanzibar kuna mipaka tofauti ya bahari? kama hapana, je hili suala la kusema mafuta ni sehemu ya muungano au siyo sehemu ya muungano linatokana na kigezo kipi cha sehemu moja ya muungano kutambua eneo lake tu la bahari?. Au wamegawana?. Naomba kutoa hoja.

    ReplyDelete
  2. Mungu akubariki baba MALASUSA, naona unamtumikia Mungu kwa nguvu mpaka unazeeka. Utalipwa kwa wakati usipozimia Roho!

    ReplyDelete
  3. Nzanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Tanzania ila wana wimbo wao kuna wakati huwa wanaimba

    ReplyDelete
  4. Yah anoy wa tatu. Wana wimbo, bendera na raisi na hilo sio tatizo ile ni sehemu ya Tanzania kama vile singida.

    Kama ni wimbo CUF wanao, na kwaya zina nyimbo zake, Bendera Simba na Yanga wana zao na hata Rais sio tatizo kuna rais yupo Mintanga yule wa ngumu ama huyu wa TFF.

    ReplyDelete
  5. Wewe unaesema Zanzibar sio nchi itakuwa ndio zile historia tulizofundishwa nyakati za zamani za uongouongo.Hebu anza kutafuta historia ya nchi yako Tanganyika kwanza halafu uitafute ya Zanzibar ndio utaipata ya uhakika.Zanzibar ni nchi ila tunajichanganya tu.Kama sio nchi kwanini tunaita serikali ya muungano?Sasa huu muungano umetokea wapi?Kwani hujui kama Zanzibar ina raisi wake na bunge lake pamoja na katiba yake?Sasa nakupa home work ndugu yangu uende ukaitafute historia ya kwetu Tanganyika kwanza na uijue vizuri.Usijichanganye ndugu yangu ni nyinyi wachache tu mnaotaka kulazimisha mambo lakini mimi sipo mimi napenda kuona haki inatendeka.

    ReplyDelete
  6. mbona maoni mengine hayaendani na picha au mmejichanganya

    ReplyDelete
  7. haya mambo yanachanganya sana, nilishtuka rais wa zanzbar aliposema ajali km ya mv spice islanders haijawah tokea nchin kwao, nikasema huyu hajui km kuna mv bukoba ilishatokea nchi hii hii? Huu utata utaisha cku watz tukiamua kuacha kula mifupa iliyo kwny bakuli la kijan na njano.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...