Home
Unlabelled
Waziri Mkuu akutana na Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi Tanganyika na Zanzibar kuna mipaka tofauti ya bahari? kama hapana, je hili suala la kusema mafuta ni sehemu ya muungano au siyo sehemu ya muungano linatokana na kigezo kipi cha sehemu moja ya muungano kutambua eneo lake tu la bahari?. Au wamegawana?. Naomba kutoa hoja.
ReplyDeleteMungu akubariki baba MALASUSA, naona unamtumikia Mungu kwa nguvu mpaka unazeeka. Utalipwa kwa wakati usipozimia Roho!
ReplyDeleteNzanzibar sio nchi ni sehemu ya nchi ya Tanzania ila wana wimbo wao kuna wakati huwa wanaimba
ReplyDeleteYah anoy wa tatu. Wana wimbo, bendera na raisi na hilo sio tatizo ile ni sehemu ya Tanzania kama vile singida.
ReplyDeleteKama ni wimbo CUF wanao, na kwaya zina nyimbo zake, Bendera Simba na Yanga wana zao na hata Rais sio tatizo kuna rais yupo Mintanga yule wa ngumu ama huyu wa TFF.
Wewe unaesema Zanzibar sio nchi itakuwa ndio zile historia tulizofundishwa nyakati za zamani za uongouongo.Hebu anza kutafuta historia ya nchi yako Tanganyika kwanza halafu uitafute ya Zanzibar ndio utaipata ya uhakika.Zanzibar ni nchi ila tunajichanganya tu.Kama sio nchi kwanini tunaita serikali ya muungano?Sasa huu muungano umetokea wapi?Kwani hujui kama Zanzibar ina raisi wake na bunge lake pamoja na katiba yake?Sasa nakupa home work ndugu yangu uende ukaitafute historia ya kwetu Tanganyika kwanza na uijue vizuri.Usijichanganye ndugu yangu ni nyinyi wachache tu mnaotaka kulazimisha mambo lakini mimi sipo mimi napenda kuona haki inatendeka.
ReplyDeletembona maoni mengine hayaendani na picha au mmejichanganya
ReplyDeletehaya mambo yanachanganya sana, nilishtuka rais wa zanzbar aliposema ajali km ya mv spice islanders haijawah tokea nchin kwao, nikasema huyu hajui km kuna mv bukoba ilishatokea nchi hii hii? Huu utata utaisha cku watz tukiamua kuacha kula mifupa iliyo kwny bakuli la kijan na njano.
ReplyDelete