Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongoza kikao cha kujadili maandalizi ya sensa kilichofanyika Ofisini kwake jijini Dar es salaam, Januari 28, 2012. Wanne kulia ni Makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi.
Makamu wa Rais Dkt, Mohammed Gharib Bilal, Waziri mkuu, Mizengo Pinda na makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi wakitoka kwenye ukumbi wa Hoteli ya Blue Pearl- Ubungo Plaza jijini Dar es salaam Januari 28, 2012 kuhudhuria kakao cha kujadili Muungano (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Kikao cha kujadili Muungano, kinaweza kuahirishika na kufanyika any day ili Pinda na Bilal mmalizane na wauguzi, kila siku moja inayopita kuna mtu au watu wanakufa kwa kukosa huduma zao.
    .....Oh, teh teh teh, nimeelewa kwanini hamna cha kuwajibu madaktari, bkoz mwamuzi wa mwisho katika matakwa yao ni J.K, naye yupo Swiss. Na hakika watanzania wengi zaidi watakufa endapo ataahirisha kikao huko swiss na kuja TZ kumalizana na wauguzi. Thank you Viongozi kwa kutujali wadanganyika wa hali ya chini, acha Madaktari wagome tumesikia INDIA itasgezwa karibu na Tanzania

    ReplyDelete
  2. Magwandaz kila kona. Chadema hoyeee!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...