Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua ujenzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Tekinolojia cha Nelson Mandela kilichopo Arusha wakati alipokitembela leo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hiki ni binafsi au? na ni arusha sehemu gani? au ni TCA imebadilishwa?

    ReplyDelete
  2. Ni chuo kipya mkuu ,ni cha serikali kwa msaada wa wahisani ....ni kati ya vyuo ambavyo vitakuja kuwa bora kabisa kwenye science na wameshaanza kuchukua wanafunzi wa masters na PhD.Tembelea tovuti yao http://www.nm-aist.ac.tz/

    ReplyDelete
  3. kiko tengeru arusha. Ni cha serikali soma zaidi kwenye mtandao wao, utapata mambo mengine zaidi. Just gooogle

    ReplyDelete
  4. hiki ni chuo cha Serikali na hakijajengwa kwa msaada wa wahini kimejengwa na serikali kwa kutumia mkopo wa Mifuko ya hifadhi ya Jamii. ni chuo kikali sana na cha kipekee kabisa. Kiko kwnye majengo ya KAMATEC Tengeru. Uendeshaji wa chuo ni kwa ufadhili wa Nelson Mandela Fund

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...