Mshambuliaji wa timu ya Moro United,Simone Msuva akijaribu kumtoka kiungo wa Yanga, Nurdin Bakari wakati wa mchezo uliopigwa leo kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar.timu hizo zote zilitoshana nguvu ya kufungana mabao 2-2.
Golikipa wa Yanga, Shaban Kado akidaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Moro United, Lambele Jerome.
Moro United wakiandika bao lao la kwanza.
hakuna kupita hapa.
wachezaji wa Moro United wakishangilia bao pili,kabla ya Yanga kusawazisha na kufanya matokeo ya mchezo huo kuwa 2-2.
MSHIKAJI NAMBA 15 ANAONEKANA HANA RAHA KABISA TIMU YAKE JANGWANI IPO NYUMA. MAANA HASHANGILII NA ANAONEKANA ANA USONGO KWA NINI WENZAKE WAMEPACHIKA BAO DHIDI YA YANGA.
ReplyDeleteSamahani wakuu, namtafuta sana yule bwana Mohamed Msomali aliwahi kuwa kucha wa Moro United, mwenye maelezo yake tafadhali msaada kwenye tuta nimekwama
ReplyDeleteYebo yebo magazetini hamna Kitu.
ReplyDeleteDavid V