TO ALL MY FELLOW AFRICANS:
I HAVE BEEN GIVEN THE HONOR OF AN INVITATION TO PERFORM AT ONE OF THE BIGGEST MILITARY BASES IN THE US TO CELEBRATE BLACK HISTORY MONTH. I WILL BE THE FIRST AFRICAN MUSICIAN TO PERFORM AT THIS BASE.
THIS IS A PICTURE OF ME VISITING THE MILITARY BASE TO PLAN THE SHOW. IN THE PICTURE WITH ME, YOU CAN SEE XXX CAROL CHAPMAN, ONE OF THE HIGHEST RANKING AFRICAN AMERICAN WOMEN IN THE ARMY.
I'VE BEEN INVITED TO PERFORM BECAUSE OF THE POSITIVE SOCIAL JUSTICE MESSAGE OF MY MUSIC AND MY BELIEF IN EQUALITY AND JUSTICE FOR EVERYONE - ALEX KAJUMULO
Hii kali. Hongera sana kwa mwaliko huu. Peperusha vilivyo bendera ya Hii Nji. Kaza buti. Nakutakia mafanikio zaidi na zaidi.
ReplyDeleteAwesome news, go Kajumulo go!
ReplyDeleteKajumulo usitudanganye na muziki kama ulivyofanya kwenye soccer.kupiga music kwenye kambi ya jeshi ni kawaida America.Tafuta riziki kama watu wote America na usittimie story za kutuyeyusha .
ReplyDeleteHongera sana kaka. All the best and make us proud!
ReplyDeleteUmealikwa kwasababu unawa-support mashoga? Nevertheless, tunakutambua kama mpambanaji na mpiganaji wetu wa ukweli. Wakilisha babake!!
ReplyDeletesawa kaka alex waambie na hao wamerican dunia imechoka na vita
ReplyDeleteSio kuwajazia tu misifa, wahimize pia kutenda haki katika kazi zao. Kila la kheri
ReplyDeletekajumulo tunajua unapenda promotion na hapo tunajua kuna kitu unatafuta si bure wewe
ReplyDeleteAlex Kajumulo,
ReplyDeleteKuwa makini na Americans, mara nyingi hao jamaa hawana Urafiki wenye mwisho mwema.
Umemuona Charles Taylor walimtumia sana akiwa Boston America miaka ya 1980's-1990's halafu, wakamsaidia akawa Raisi Liberia kwa njia ya vita na mwisho wakambwaga wakampa kesi ya kuendesha vita kwa fedha za Damu na sasa yupo THE HAGUE anaburuzwa mahakamani!