KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Angetile Osiah (pichani) anatarajia kufanyiwa upasuaji wa kichwa nchini India wiki ijayo. Angetile ambaye alikuwa amelazwa kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili katika wodi ya taasisi ya Mifupa (MOI)kabla ya kuruhusiwa jana amesema kuwa upasuaji huo unafuatia matokeo ya vipimo na ushauri toka kwa madaktari.
Home
Unlabelled
angetile osia kwenda India kufanyiwa upasuaji wa kichwa wiki ijayo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kila la kheri kaka. tunakutakia upasuaji mwema na upate nafuu haraka iwkenavyo urejee kazini.
ReplyDeleteSanyingine ni MGUU maana wa dokta wetu hawaaminiki!
ReplyDeletehujafa hujaumbika
ReplyDeleteNdugu yetu O. Anjetile, Tunakutakia safari njema, matibabu mema, na inshallah, kila kitu kitaenda kama kilivyopangwa.
ReplyDeleteKuwa na Imani na matibabu utakayopewa huko, na Inshallah utapona haraka haraka na urudi nyumbani.
Mdau Mancheaster-Uk.