VIINGILIO katika mechi ya ligi ya mabingwa Afrika baina ya Yanga na Zamalek ya Misri inayotarajiwa kufanyika Machi 18 mwaka huu Neshno vimepangwa kuwa shilingi 50,000 kwa viti maalum huku kiingilio cha chini ni shilingi 3,000. Aidha viingilio vingine ni 7,000, 10,000, 15,000 na 30000 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Jamani wadau wenzangu natafuta jezi ya Zamalek sijui zauzwa wapi, mwenye tetesi anijuze jamani manake walivaa jezi za mazembe hao sasa zamu yao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...