Hivi ndivyo hali inavyokuwa katika Barabara ya Umoja wa Mataifa road ambapo kunakuwa na msongamano mkubwa wa magari unaopelekea kuwekwa kwa njia zaidi ya mbili zinazoelekea upande mmoja kama picha zetu zinavyoonyesha.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ni mada nzuri ila kuwa making na lugha ni au bararara ya umoja wa mataifa au umoja wa mataifa road na si vyote kwa pamoja.

    ReplyDelete
  2. habari ndo hiyo what do you expect na foleni hii??

    ReplyDelete
  3. what do u mean by barabara ya umoja wa mataifa road? any difference btn road and barabara? you better edit well your headings before posting them out.

    ReplyDelete
  4. Nyie wadau hapo juu inaonesha ni wageni wa lugha zetu humu ndani. TUACHENI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...