Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Mkuu, naomba nipe sababu za kwanini usishtakiwe kwa kukashifu pesa ya Tanzania.

    ReplyDelete
  2. aaah wewe ulietangulia hapo juu unatokea wapi? kwani hujui kama mihela ya tanzania inaitwa madafu?

    hiyo mihela ya madafu ankali wala hajakosea

    ReplyDelete
  3. Angalau Mh. Beno kadhibiti kidogo maspeculators. Ila jitihada ziongezwe kudhibiti hizi illegal transactions za us kwenye local market na hivi foreigh banks(zinajulikana) kutorosha % of forex wanazonunua BOT

    ReplyDelete
  4. hela ya madafu ni kauli ya baba wa taifa aliyotoa kupinga ubepari waliomzimisha ashushe thamani ili apewe misaada na mikopo yenye masharti makali.

    "wanataka, wanataka kutupa mikopo yenye msharti makubwa ikiwa ni pamoja na kutukandamiza kiuchumi kwa kuangusha hela ya wakulima, wafanyakazi...wanataka kushusha hela yetu ya MADAFU ili tukilipa deni lao tulipe kwa riba kubwa. hilo nimekataa kabisa. sikubali...sijalikubali na nimemwambia waziri msuya(-cleopa david-)alikatae hilo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...