Home
Unlabelled
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Baina ya wanafunzi wa sekondary na chuo kikuu?! Yaani vyuo vyetu vikuu vimefikia hapo?
ReplyDeleteMdau wa kwanza, hii ni sawa na mpango wa kuwajengea ujasiri wanafunzi wa sekondari kupitia migongo ya makaka na madada zao wa vyuo vikuu, hivyo sio kitu kibaya. Pia itawahamasisha kutaka kusoma zaidi.
ReplyDeleteIla nisichopenda mimi ni utaratibu wa hiki chuo chetu kikuu kuu 'kumuabudu' Walter kuita kiasi. Kwa hadhira kama hii naamini ingependeza kubadilika kidogo na kuwaonesha filamu ya Patrice Lumumba.