Uongozi wa muda wa umoja wa wanantebela kutoka wilaya ya Kyela unakukaribisha mwana ntebela kwenye kikao cha umoja.
Mahali: Urafiki Social Hall
Siku: Jumapili (04/ 03/ 2012)
Muda: Saa Tisa alasiri (9:00)
Upatapo ujumbe huu tafadhari mtaarifu na mwenzako.
Kwa mawasiliano :
Ipyana: 0787232292
Itika: 0655957777
Gwakisa: 0784477510
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...