Wadau Aboubakary  Liongo (shoto), Eddo Kumwembe (kulia) na mkongwe katika tasnia ya habari Mzee Richard Mwangulube wakiwa katika viunga vya jiji la Arusha baada ya kujumuika katika bonanza la michezo  na wanaspoti wa timu ya kitambi noma Jumapili hii. 
Picha na mdau Novatus Makunga
 Abou na Eddo na mdau
 Nyama choma baada ya mchezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 14 mpaka sasa

  1. Tehe teh tee te!
    Hawa wanafurahisha kweli!

    Kitambi Noma halafu munafakamia mi-RED MEAT hiyo na miBia hicho kitambi kitaNOMEKA vipi?

    Khaah!

    ReplyDelete
  2. Eti kitambi noma? Na ulaji wa namna hiyo vitambi vitaondoka kweli acheni mzaha ninyi!

    ReplyDelete
  3. vitambi vitatokaje baada ya sports mnapachika hayo mavitu tumboni,badala ya sports drink???
    na matunda kwa wingi,less protein!
    mnatoa ujumbe gani kwa vijana??????

    ReplyDelete
  4. NYAMA CHOMA BAADA YA MCHEZO, JE HAPA TUNAPUNGUZA VITAMBI AU TUNAONGEZA VITAMBI?

    Tutaishia kupunguza Vitambi kwa njia ya SOKA huku Jirani zetu Zambia wakibeba KOMBE LA UBINGWA WA MATAIFA YA AFRIKA!

    ReplyDelete
  5. Unakata kitambi unapanba kitambi!

    ReplyDelete
  6. Mnapunguza kitambu kwa kula red meat na bear. Mbona mnafanya mambo kinyumenyume. Hata management ya soka yetu inaendeshwa hivyohivyo. Tutaishia kuwashingilia Zambia tu.Watanzania tunaitaji mapinduzi ya akili.

    ReplyDelete
  7. Kula ule nyama na vyenginevyo bali mazoezi ndio muhimu. Ukila manyama bila ya mazoezi ndio mbaya.

    ReplyDelete
  8. Msiwa chuuze wenzenu !kuleni bwana!

    ReplyDelete
  9. Mhm .... Halafu hawa hawa ndo viongozi 'wetu' wa soka! Mtaishia kuwapongeza Zambia tu. Mambo ya soka sahau.

    ReplyDelete
  10. halafu mnategemea mshinde mechi za kimataifa, hongereni chipolopolo wabongo wazushi tuu kazi yao kufata msafara wa mamba ilihali wakijua wao ni kenge!

    ReplyDelete
  11. Maendeleo ya SOKA hatuna Tanzania kwa sababu ya Ulafi, Ulevi na Ngono zembe!

    ReplyDelete
  12. Tujifunze na kutumia kijiko kuchotea chakula. Walimwengu wanatusimlia hivi.

    ReplyDelete
  13. msivae MAJEZI ya watu kwa shughuli mnayoifanya hapo AAAIIIBBU TU,tupendekeze makocha wazalendo waliopo NNNNNJE jamani. soka itakufa bongo

    ReplyDelete
  14. Acheni mzaha na afya zenu. Bia,Ugali mkubwa, nyama choma na chumvi ya kuongeza pembeni hiyo ni kuzidi kuharibu sio kuimarisha afya. Please watch out

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...