Wadau Aboubakary Liongo (shoto), Eddo Kumwembe (kulia) na mkongwe katika tasnia ya habari Mzee Richard Mwangulube wakiwa katika viunga vya jiji la Arusha baada ya kujumuika katika bonanza la michezo na wanaspoti wa timu ya kitambi noma Jumapili hii.
Picha na mdau Novatus Makunga
Picha na mdau Novatus Makunga
Abou na Eddo na mdau
Nyama choma baada ya mchezo
Tehe teh tee te!
ReplyDeleteHawa wanafurahisha kweli!
Kitambi Noma halafu munafakamia mi-RED MEAT hiyo na miBia hicho kitambi kitaNOMEKA vipi?
Khaah!
Eti kitambi noma? Na ulaji wa namna hiyo vitambi vitaondoka kweli acheni mzaha ninyi!
ReplyDeletevitambi vitatokaje baada ya sports mnapachika hayo mavitu tumboni,badala ya sports drink???
ReplyDeletena matunda kwa wingi,less protein!
mnatoa ujumbe gani kwa vijana??????
NYAMA CHOMA BAADA YA MCHEZO, JE HAPA TUNAPUNGUZA VITAMBI AU TUNAONGEZA VITAMBI?
ReplyDeleteTutaishia kupunguza Vitambi kwa njia ya SOKA huku Jirani zetu Zambia wakibeba KOMBE LA UBINGWA WA MATAIFA YA AFRIKA!
Unakata kitambi unapanba kitambi!
ReplyDeleteMnapunguza kitambu kwa kula red meat na bear. Mbona mnafanya mambo kinyumenyume. Hata management ya soka yetu inaendeshwa hivyohivyo. Tutaishia kuwashingilia Zambia tu.Watanzania tunaitaji mapinduzi ya akili.
ReplyDeleteKula ule nyama na vyenginevyo bali mazoezi ndio muhimu. Ukila manyama bila ya mazoezi ndio mbaya.
ReplyDeleteMsiwa chuuze wenzenu !kuleni bwana!
ReplyDeleteMhm .... Halafu hawa hawa ndo viongozi 'wetu' wa soka! Mtaishia kuwapongeza Zambia tu. Mambo ya soka sahau.
ReplyDeletehalafu mnategemea mshinde mechi za kimataifa, hongereni chipolopolo wabongo wazushi tuu kazi yao kufata msafara wa mamba ilihali wakijua wao ni kenge!
ReplyDeleteMaendeleo ya SOKA hatuna Tanzania kwa sababu ya Ulafi, Ulevi na Ngono zembe!
ReplyDeleteTujifunze na kutumia kijiko kuchotea chakula. Walimwengu wanatusimlia hivi.
ReplyDeletemsivae MAJEZI ya watu kwa shughuli mnayoifanya hapo AAAIIIBBU TU,tupendekeze makocha wazalendo waliopo NNNNNJE jamani. soka itakufa bongo
ReplyDeleteAcheni mzaha na afya zenu. Bia,Ugali mkubwa, nyama choma na chumvi ya kuongeza pembeni hiyo ni kuzidi kuharibu sio kuimarisha afya. Please watch out
ReplyDelete