Rais wa Chama cha Walimu Tanzania ( CWT), Gratian Mukoba akikata utepe kuanzishia kukabidhiwa Jengo la Ofisi ya Kisasa ya CWT Mkoa wa Morogoro jana eneo la Nunge, Manispaa ya Morogoro, ( kushoto) ni Mkurugenzi wa Ujenzi wa SUMA JKT, Mhandisi Luteni Kanali, Mkochi Kichogo ,na ( kulia) ni Kaimu Mwenyekiti wa Mkoa wa CWT, Bakari Hamis.
Rais wa Chama cha Walimu Tanzania ( CWT), Gratian Mukoba ( kulia) akisaini moja ya hati ya makabidhiano ya kumalizika kwa Jengo la Ofisi ya Kisasa ya CWT Mkoa wa Morogoro jana eneo la Nunge, Manispaa ya Morogoro, anayesaini ( kushoto) ni Mkurugenzi wa Ujenzi wa SUMA JKT, Mhandisi Luteni Kanali, Mkochi Kichogo na kati kati  ni Katibu Mkuu wa CWT, Yahya Msulwa.
Rais wa CWT , Gratian Mukoba ( watano kutoka kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wa Vyama mbalimbali vya wafanyakazi na wenyeji wa CWT Mkoa wa Morogoro baada ya kukabidhiwa jengo jipya la Ofisi za CWT Mkoa wa Morogoro lenye ghorofa mbili.
Jengo la Ofisi ya CWT Mkoa wa Morogoro.Picha na John Nditi wa Globu ya Jamii,Mji Kasoro Bahari.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...