Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akiwapungia mkono Maaskari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama, walioshiriki katika maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar,wakati alipowaalika chakula cha mchana katika kambi ya Bavuai huko Migombani nje ya Mji wa Zanzibar leo,(kulia) Waziri Nchi Ofisi ya Rais Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Makame.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi .Ali Shein,akisalimiana na Makamo wa Pili wa Rais wa Balozi Seif Ali Iddi,wakati alipowasili katika kambi ya Bavuai huko Migombani nje ya Mji wa Zanzibar leo,wakati alipowaalika Maaskari wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama,walioshiriki katika maadhimisho ya miaka 48 ya Mapinduzi ya Zanzibar,katika chakula cha Mchana.
Mdau
ReplyDeleteSiyo MAKAMO wa Rais, ila ni
MAKAMU wa Rais. Msipotoshe lugha yetu maridadi jamani!!!