SERENGETI FREIGHT FORWARDERS
WAZEE WA KAZI 
LETE MZIGO WAKO TUTAUFIKISHA MPAKA SEBULENI KWAKO DAR!
KUTUMA DOCUMENTS BY DHL £25 NA TUNAWEZA KUCHUKUA NYUMBANI KWAKO POPOTE UK
KWA WALIO TANZANIA TUNA SUPLY VITU VIFUATAVYO KWA BEI YA JUMLA KUTOKA UK KWA BIASHARA
USED TESTED FRIDGES FROM £15
USED TESTED TV's FROM £10
USED TESTED COMPUTERS (with flat screen)FROM £60
USED TESTED WASHING MACHINES FROM £25
USED TESTED LAPTOPS (na mkoba wake) FROM £65
TUNACHUKUA ODA ZA JUMLA TU KWA EXPORT NA PIA TUNAVYO VITU VINGI SANA KAMA VILE PASI, BLENDERS, KETTLES, COPIERS,NK
PIA KAMA UNATAKA KUNUNUA MAGARI AU MASHINE ZOZOTE HAPA UK SIE TUNAWEZA KUKUSAIDIA KUNUNUA NA KUKUSAFIRISGIA MPAKA NYUMBANI
 
FROM TILBURY 
NEXT VESSEL SAILS 22/02/2012 CUT OFF 17/02/2012
OUR PRICESS FROM SHEERNESS
NEXT VESSEL SAILS ON 18/02/2012 CUT OFF 16/02/2012
SEA  CARGO/VIFURUSHI MPAKA DAR AT £2.20 PER KILO INCLUSIVE CUSTOMS CLEARANCE
NEXT CONTAINER FOR VIFURUSHI KUONDOKA 10/02/2012
CHUKUA MZIGO WAKO MAGOMENI DAR
TEL             00255 22 5000002      
Contact us for more info;
CHRIS LUKOSI 07903828119 
SIMON LOUIS (MOHSIN) 07950689243
HASSAN (RICHARD) 07405159255
HQ -  UNIT 92 THAMES INDUSTRIAL PARK, PRINCESS MARGARET ROAD, EAST TILBURY, RM18 8RHRH
Tell             (+44) 01375 855917        Fax             (+44) 01708202477      

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. sijaelewa kutuma document au did you mean parcel...wazee wa kazi?

    ReplyDelete
  2. mhhh kauli gongana; HIVI NI SUPLY AU SUPPLY?? PER KILO AU PER KGS...nisome kiswahili au ki inglishi au ki mixer mixer???

    ReplyDelete
  3. WAZEE WA KAZI.

    ReplyDelete
  4. mjomba wa kauli gongana si uende kuwa mwalimu bongo basi, suala sio uwezo wako wa kuongea au kuandika kiingereza , suala ni je unaishi maisha gani na hicho kisomo chako, au ndio kuishia kuwa mlinzi tu UK? au kuishia kufanya kazi masaa mengi unakosa hata muda wa kukaa na familia ili ulipe mogeji? Hawa jamaa wazee wa kazi sio wasomi kama wewe bali ni wajasilia mali tu wenye akili kali za kibiashara na ndio maana unawaona wana ofisi kubwa na wanaafanya kazi kisawasawa bila kutumia lugha (usomi) mie nawasapoti sana kwa akili zao za kubuni mambo na ni mfano mkubwa wa kuigwa na watanzania wengine kuliko kuanza kumcheka mtu kwenye lugha wakati wewe unaeongea hicho kiinglish unaishi kwenye kinyumba kibovu na si ajabu hata kigari cha kutembelea tu huna. Tuache hii kasumba ya kuangalia negatives za kijinga na badala yake tuangalie watu wanafanya nini na kama una mawazo basi uyatoe watu wayafanyie kazi. mie binafsi nataka nifungue kampuni ya ulinzi na mini cab ofisi na sijasoma kama wewe na najua nitaweza kwa sababu kama wazee wa kazi ambao hata sekondari hawakufika wameweza basi mie na elimu yangu ya form six nitaweza . HII NDIO MOTO.
    KAMA AKIWEZA NA MIMI LAZIMA NITAWEZA! sio kuacheka lugha. hayo ya kizamani sana. hebu angalia wasomi wangapi hapa uk wanabeba boksi......? marekani???? sasa jamaa yangu usirudie tena kucheka elimu ya mtu wakati unavaa suti ya charity shop

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...