The Late Ambassador Daudi N. Mwakawago
(September 19, 1939 – February 25, 2010)
My Beloved Husband, Our beloved Baba…..
It is now two years since God took you home to rest.
Your life was a blessing, your memory a treasure...
You are loved beyond words and missed beyond measure...
Your gentleness and patient smile, with sadness we remember.
A thousand words won’t bring you back and neither will a million tears but
to us you are still near.
A silent thought, a secret tear, keeps your memory ever dear…
God took you home, it was His will, but in our hearts, you live forever.
Your kindness, words of wisdom and your charm will reside forever.
No one can fill your vacant place. You’ve left behind broken hearts and
precious memories to cherish forever…
We miss you now, we miss you forever.
Rest in peace my beloved Husband, our beloved Baba…
We love you very much your wife Mrs. Daisy Zuhra Mwakawago, Children, Grandchildren, Relatives and Friends.
Pole sana Daisy na familia ya Mwakawago kwa ujumla, tuko pamoja katika kumbuka Mwakawago.Mimi sikuwahi kukutana na Daudi Mwakawago lakini kwa sababu hawa viongozi wa zamani walikuwa wanafanya kazi kwa Uzalendo sana na uadilifu, tuliwafahamu.Mimi nilimfahamu tangu nikiwa darasa la pili 1980.Zamani tulikuwa tunafundishwa kuhusu viongozi wa nchi..Waziri wa....anaitwa...Sijui siku hizi.R.I.P Daudi
ReplyDeleteDavid V
Alikuwa mtu mwema. Daima niliheshimu sana ushauri wake tulipokuwa pamoja kule Italia.
ReplyDeleteInnalillahi Wa Innalillahi Raaj'un!
Mimi natokea Kagera na nakumbuka Mheshimiwa Mwakawago alikuwa kiongozi wa kwanza wa juu wa CCM kukutana naye.
ReplyDeleteAlikuja kuhutubia wilaya ya Karagwe kuhusu itikadi mpya za CCM mwaka 1989, he was a truly statesman, fun and man of the people.
Since then I felt like I knew him.....
Rest in peace Ambassador
Anony hapo juu umenikumbusha enzi hizo tuko primary tunafundishwa viongozi wa nchi hao kina mwakawago, nyang'anyi, mramba, duh bila kumsahau kingunge wa ngombale.
ReplyDeleteTunaendelea kuwakumbuka wazee wetu. Urafiki wao ulitufanya tufahamiane. Mzee wetu alitangulia, baada ya miaka kadhaa Mzee Mwakawago naye akafuatia. Tutaendelea kuwakumbuka kwa kuwa walikuwa mfano mzuri kwetu na tuna mengi mazuri ya kukumbuka waliyoyafanya. Naungana na mama Mwakawago, Kiye, Ima, Lulu, Mtagie na wengine wote kumkumbuka Mzee Mwakawago na pia kumkumbuka baba yangu mzazi aliyewahi kufanya kazi na Mzee Mwakawago na hivyo kutufanya tufahamiane na familia ya Mwakawago. Siku zimepita na tumepoteana. Ila nadhani ipo siku tutakutana tena. Lakini cha muhimu ni kumwomba Mungu awaweke mahali pema peponi wazee wetu hawa. Amen.
ReplyDeleteDeo. M.
Mungu azidi kumpuzisha mahali pema peponi. Tunakukumbuka Balozi Mwakawago na Mungu azidi kutupa nguvu sisi tuliobaki ili tukutane tena. Amina.
ReplyDeleteMama Mwombela