NewKings ni muunganiko wa vijana wenye passion na ku"shake",ni Dance Crew Toka Arachuga moja wakiwa na maxkani yao ya tizi pande za Kijenge moko.

Ujio wa NewKings katika game ni wa kimapinduzi kwani wameshashiriki mashindano kadhaa katika kuonesha mauwezo yao jukwaani.Kwa sasa tunapiga zoezi kudance trax za "rudstepzz Vol 1" ikiwemo ile ya party people ya YungOmega katika harakati za kujiandaa na video.big up noizmekah.com kwa ruksa na baraka za producer defxtro so hapo ni full mwendo wa ragga yani jamaica kuhamia Arachuga moko. 

Mafans wetu wote tunawapenda na kikubwa tunachoomba 
ni support yenu siku hadi siku.

Uongozi na udhamini kwa kundi letu ni kitu tunaamini tukipata kitatupatia mwelekeo wa kasi zaidi katika mafanikio!!!!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. hongera sana kwa juhudi zenu na hapo mlipofikia ila huyo jamaa wa kjuu hapo na ishara ya pisto/gun shooting kaharibu kwani inaleta picha mbaya kwa watu wanaojiheshimu au waungwana. kwani unapromot violence.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...