Ivory Coast wameitoa Mali kwa bao 1-0 katika nusu fainali
kutinga fainali bila kufungwa bao hata moja
Zambia - Chipolopolo wameifunga Ghana 1-0
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Tuwekee picha za maandamano ya wananchi kuhusu mgomo wa madaktari na si mambo yasiyo na maana please.
ReplyDeleteDaah! Kudaadeki.
ReplyDeleteKila la heri ndugu zetu Wazambia.
Huyo kocha wao alitaka kuirithi Taifa Stars kutoka kwa Maximo tukachemsha. Leo tunakiona cha moto wakati kina Katongo na Mayuka wanakaribia kuwapelekea ndugu zao kombe huko Lusaka, Kapiri Mposhi, Ndola, Kitwe, Kabwe, Mufulira nk.
Hivi jamani Zambia na sisi Tanzania tunatofauti gani...economically we are almost the same level, kwanini wanakuwa na manikia kwenye soccer zaidi yetu....nisaidieni ndugu zangu waTZ wenzangu
ReplyDeleteTanzania Hureeeeeeeeeeee!!! Tumeifunga Ghanaaaaaaaa!! TFF juuuu! Taifa Stars Oyeeeeeeeeee!
ReplyDeleteDu! Kumbe ni Zambia sio Tz! samahani sana wadau ni 'mzuka'ulipanda.
Hivi washambuliaji wetu wa Taifa stars wanaangalia michuano hii kupitia kwenye Luninga?Wanaweza kujifunza kitu kutoka kwa Washambuliaji.
ReplyDeleteMnaona wanavyotumia akili na maamuzi ya hraka kufunga??Mnaona wanavyokuwa wamezungukwa na lundo la mabeki wanavyoweza kufunga??Siyo lazima uangaliane na golikipa ndiyo ufunge,nimeona washambuliaji wakiwa wamezungukwa na mabeki huku goli likiwa mgongoni lakini wakifanikiwa kugeuka wanapiga bila hata bila kuangalia goli na wanafunga(Wanajua milingoti ilipo)
David V
acheni domo mpira bongo hakuna tujihusishe kwenye michezo mingine kama vile kurusha mishale tunao wamasai mambo ya mpira tutabakia nyuma sana
ReplyDeletekwanza wachezaji wetu wadogo sana utasema wachezaji wa shule za msingi wenzetu maguvu mengi miili mikubwa
kuna jamaa aliwahi kunichekesha aliposema eti enzi za utumwa waliuzwa sana waafrika wa nchi za west kutokana na maguvu yao na miili mikubwa
eti sisi watanzania hatujauzwa sana kutokana wadogo wadogo tulikuwa hatununuliwi isipokuwa mteja katika kuchagua akinunua waafrika wa west 10 anapewa nyongeza mtanzania mmoja hahahaha
hahahahahhaha
hahahahahhahaha kumbe tulikuwa kama nyongeza tu
hahahahha
hahahahhahahhahahaha
Maximo rudi kuendeleza timu yetu. Chipukizi uliokuwa unawaandaa wameenguliwa na kurejeshwa wakongwe ambao hawakupata kutuletea mafanikio.
ReplyDeleteTuatandelea kushangiria za wenzetu mpaka tujitambue
ReplyDelete