Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akizungumza na waandishi wa Habari katika mkutano na waandishi wa habari kuzungumzia Siku ya Sheria Nchini (Law Day) itakayofanyika kesho tar. 03.02.2012 katika eneo la Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, Kulia kwa Jaji Mkuu ni Msajili wa Mahakama ya Rufani, Mhe. Francis Mutungi. (Picha na Mary Gwera, Mahakama ya Tanzania) |
Home
Unlabelled
kesho ni siku ya sheria nchini, atangaza jaji mkuu mohamed chande othman
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
inamaana kesho ni siku ya sheria???siku zingine sheria haifahamiki au vipi??? au ni siku sheria inafuatwa?? au sheria ilishuswa kutoka mbinguni??
ReplyDeleteNadhani mpiga picha (au aliyeweka caption) alikuwa anamaanisha KOSHOTO KWA JAJI MKUU NI MSAJILI WA MAHAKAMA YA RUFAA.
ReplyDelete