Mkurugenzi Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu Ofisi ya Makamu wa Rais Bw Tutubi Mangazen akifunguwa Warsh ya Elimu ya Uzalishaji na Matumizi Endelevu kwenye Ukumbi wa Mikutano Ofisi ya Makamu wa Rais kulia Mukurugenzi Mazingira Dk Julias Ningu,Mwakilishi wa UNEP Paris Bi Khairoon AbassKushoto Mkurugenzi wa Barazi la Taifa na Uhifadhi wa Mazingira [NEMC]Eng Boniventure Baya,Mwakilishi wa UNEP nchini Tanzania Bi Clara Makenya.
Mwakilishi wa UNEP Nchini Tanzania Bi Clara Makenya akizungumza kwenye Warsha ya Elimu ya Uzalishaji na Matumizi Endelevu iliofanyika kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Kulia Mkurugenzi wa Mazingira Dk Julias Nigu,Mkurugenzi Utawala Rasilimaliwatu Bw Tutubi Mangzen,Mkurugenzi Baraza la Taifa NEMC Eng Boniventure Baya na Mwakilishi wa UNEP kutoka Paris BiKhairoo Abass, leo Mtaa wa LUthuli Mjini Dar es Salaam.
Washiriki wa Warsha ya Elimu ya Uzalishaji na MatumiziEndelevu wakiwa katika Picha ya Pamoja Mara baada ya Ufunguzi leo kwenye Ofis ya Makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam.[Picha na Ali Meja].

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...