KAMATI YA MSIBA WA NDUGU YETU TAMBAZA MOHAMED TAMBAZA INAARIFU KWAMBA KHITMA YA MAREHEMU ITASOMWA JUMAMOSI HII FEBRUARI 18, 2012 MTAA WA CONGO JIJINI DAR ES SALAAM SAA 7 MCHANA. MAREHEMU TAMBAZA, AMBAYE ALIKUWA MWANAMICHEZO NA MWANAHARAKATI WA MAENDELEO YA JAMII ATAKUMBUKWA KAMA MMOJA WA WANA DAR ES SALAAM WALIOJIZOLEA UMAARUFU MKUBWA KATIKA JAMII KUTOKANA NA JUHUDI ZAKE ZA KUWA MSTARI WA MBELE KATIKA KUENDELEZA MSTAKABARI WA MAENDELEO YA WANANCHI.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...