Home
Unlabelled
KP LEO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ubongo unahusika vipi kwenye Marathon? KP hapo ni pumzi, mazoezi, lishe utashi..IQ haihitajiki kiiivyo!
ReplyDeleteheheheheh!!! hawakosagi visababu
ReplyDeleteAnonymous #1. Kwani hujui Ubongo ndo unasababisha kwa namna moja au nyingine uweze kupumua, kufanya mazowezi, kuweza kula?
ReplyDeleteBila ubongo binadamu hawezi fanya lolote.
hahaaahaaa...haaaahaaaa unaona jamaa kashikilia kitabu cha sababu,ndo zetu wabongo.
ReplyDeletePana nchi zingine Duniani unapofikishwa mbele ya Sheria na watu wakijua wewe ni Mbongo, du wanakutupa Lupango moja kwa moja kwa sababu wanajua ukifika Mahakamani Kizimbani lazima utoke kwa jinsi tulivyo jaaliwa kwa Hoja lukuki na sound!
ReplyDeleteKwa Mtanzania yakiharibika mambo utasikia moja ya haya matano:
ReplyDelete1.Kutokana na 'sababu zisizoweza kuzuilika.
2.Tumepata 'udhuru na dharura' kwa 'bahati mbaya'.
3.Kwa vile 'suala lipo nje ya uwezo wetu'.
4.Itafaa tuunde 'tume' au 'kamati; au 'kikosi kazi'
5.Na mwisho ni baba lao 'mimi sio msemaji' tafadhali naomba usininukuu !