Home
Unlabelled
ALI KIBA AKIWARUSHA MASHABIKI NA DUSHELELE NDANI YA DAR LIVE
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ali kiba aacha kumaim,
ReplyDeletemambo ya zamani hayo.
DAR LIVE HIYOOO!
ReplyDeleteSi mchezo Mbagala sasa kama Marekani!
Si mlikuwa mnabeza?
Ohhh Mbagala wako chini kimaisha ,,,!
Ohhh Mbagala hawajastaarabika,,,!
Ohhh Mbagala hata nikipewa chumba cha bure sikai,,,!
Ohhh,,,Ohhh,,,Ohhh,,,,!
WAOSHA VINYWA MPO?
KIMYAAAAA!!!
LIMEWASHUKA!
ReplyDeleteMbagala inapaa kila kukicha!
Dar live
Bado Misala na Libeneke la:
1.AZAM kule Chamazi
2.Yusuf Manji kule Mji mwema/ Tua ngoma
3.NSSF kule Mihande
Halafu sasa Wadau wamestukia pesa ipo Mbagala huwezi amini!
ReplyDeleteMa baa sehemu zingine Jijini sasa wanashinda wakipiga Muziki kutwa na Wahudumu wakiosha glasi Wateja hakuna na watu wameanguka ki fedha!
Tembo akisifiwa...
ReplyDeleteAnonymous wa Wed Feb 29, 06:47:00 PM 2012
ReplyDelete''Tembo akisifiwa...''
Ndio nini sasa?,,,Ninyi ndio walewale Wapondaji wenyewe Waosha vinywa, Limewashuka sasa hamna la kusema mnatoa maoni ya maneno mawili kama hapo juu!
Ohhh Mbagala shamba usafiri wa kupandia madirishani!
ReplyDeleteOhhh Mbagala hata Mademu wanavaa Mapensi ya Jeans ili kugombea mabasi!
WAOSHA VINYWA MMEKWISHA KULA KISU CHA MOTO KOONI, KITU HICHOOO!!!.
Nani kakwambia hivyo?,,,Tatizo la Usafiri ni Jiji zima la Dar hasa ktk mida maalum Asubuhi na Jioni, uwe na gari lako uwe unatumia bus foleni na mshike mshike wa usafiri upo pale pale.
Kwanza Mbagala ndio ina nafuu sana tu ktk Usafiri kwa sasa, tofauti na hapo nyuma kitu ambacho wengi wanafikiri ni kama zamani miaka ileee kitambo!
Tokea barabara ikamilike 2009 hakuna sehemu ina nafuu ya usafiri kama Mbagala.
KATA NGEBE YENU, IMEBIDI SASA WENYEWE MFUNGE SAFARI KWENDA MBAGALA KWENYE MARAHA DAR LIVE!
AHSANTENI SANA WADAU WAWEZESHAJI WALIOSHIRIKI KUIPANDISHA MBAGALA JUU AKIWEMO PAMOJA NA ANKAL!
ReplyDeleteMBAGALA INAENDA JUU, Waosha Vinywa kimyaaa hakuna Maoni ya kuponda sasa.
No DIS COMMENTS!
Enheee Waosha Vinywa nyuso zimewaporomoka kama NYUSO ZA MBUZI!