TOYOTA CAMI,  MODEL YEAR 2002, 
MILEAGE  40,000 KM, 
WHITE COLOUR,  1300 CC.




LOCATION; 
TANZANIA BRANCH
 Lucus japan (T) Ltd
 Mikocheni Old Bagamoyo road
 Opposite to Shoppers plaza
 Tel;+255 22 277 1316      
 Mob;             +255 713 335 474       /+255 757 714 410      
Website; www.lucusjapan.com
 HEAD OFFICE;
 Lucus Japan Co. 
2557 Kanakao kacho, Kitaku
Sakai city Osaka, Japan


Tel;+81-722-50-5006      

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Tuwekee bei tafadhali!

    ReplyDelete
  2. price please

    ReplyDelete
  3. Hawa jamaa magari ni mazuri,nilinunua gari kwao huu mwaka wa 3 sijaende garage.

    ReplyDelete
  4. Mimi huwa nachoshwa kabisa na wabongo wanauza kitu anakuambia bei poa hasemi ni kiasi gani sema nauza gari langu hilo hapo kwenye pich shilingi za kitanzania milioni kumi tu maongezi yapo. Inaeleweka sasa unasema bei poa hakuna figure inamaana ni bure basi usiseme unauza gawa tu.

    ReplyDelete
  5. Sasa hicizo picha bila bei itakuwaje? Nitoke huku kigoma mpaka Dar kuja kununua gari ambalo nimelionam kwenye picha ,hata bei yake ssjui sintakuwa mpumbavu au bado ujinga wetu wa kiafrika bado unaendelea kama kazi? WEKA PICHA QWEKA BEI ! sindio hivyo banduku!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...