Baadhi ya mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi kutoka kushoto,Dk Diodorus Kamala(Ubeligiji)Mohamed Hamza(Misri)Ladislaus Komba(Uganda)na Dk James Nsekela(Italia) wakiwa kwenye uwanja mdogo wa ndege wa Seronera ndani ya Hifadhi ya Serengeti katika ziara ya kujifunza namna ya kukuza utalii nchini iliyoandaliwa na Hifadhi za Taifa(Tanapa.Picha na Filbert Rweyemamu.
Home
Unlabelled
mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi wafanya ziara ya kujifunza mambo ya utalii Hifadhi ya Serengeti
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Hii sasa inatia aibu, hawa mabalozi wanakwenda kutembea mbugani huku wamevaa suti, wajameni mabalozi acheni ushamba, ndo kuna afisa was ubalozi wa bongo nje, alimwambia mzungu mmoja huku ughaibuni ya kwamba mlima Kilimanjaro is the besy for "skiing" kwani una theluji za kutupa!
ReplyDeleteHii sasa inatia aibu, hawa mabalozi wanakwenda kutembea mbugani huku wamevaa suti, wajameni mabalozi acheni ushamba, ndo kuna afisa was ubalozi wa bongo nje, alimwambia mzungu mmoja huku ughaibuni ya kwamba mlima Kilimanjaro is the best for "skiing" kwani una theluji za kutupa!
ReplyDeleteMdau wa 1, 2 una jazba mpaka unajichanganya. Hapo ndiyo kwanza wamewasili, watapumzika hotelini na kesho yake watavaa vipensi na tshirt na kuingia mbugani na Toyota Landcruiser 4x4 modified in Kenya. Program kama hizi zitaondoa huo utatata wa kuski kilimanjari, bila shaka.
ReplyDeleteMdau 3, unawatetea wachovu! hata kama wanaenda hotelini, kivazi chao ni out of place,Bongo bado tupo nyuma kwa sana katika kutangaza utalii wetu, inatia aibu.
ReplyDeletelengo la mabalozi ni kuelewa sekta ya utalii ili waweze kutangaza vizuri vivutio vya Tanzania na sio kujifunza kuvaa nguo za mbugani punguzeni fitina wazalendo kila jambo baya halafu mnasema kenya wanatangaza kilimanjaro upo kwao
ReplyDeletelengo la mabalozi ni kuelewa sekta ya utalii ili waweze kutangaza vizuri vivutio vya Tanzania na sio kujifunza kuvaa nguo za mbugani punguzeni fitina wazalendo kila jambo baya halafu mnasema kenya wanatangaza kilimanjaro upo kwao
ReplyDelete