Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (katikati)akikata utepe kuzindua Kituo cha Taasisi ya utafiti wa maradhi ya Malariakilichopo Bagamoyo, wakati alipokuwa katika ziara yake ya Wilaya ya Bagamoyo, mkoa wa Pwani jana Februari 03, 2012
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,akitembelea na kukagua jengo la Shirika la Elimu Kibaha, wakati akimalizia ziara yake yaWilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani leo Februari 04, 2012. Kushoto ni Dkt. Isaack Lwali (wa pili kushoto) ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Elimu Kibaha, Dkt. Cyprian Mpemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungno wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Dkt. Isaack Lwali (wa pili kulia) wakati alipotembelea na kukagua ujenzi wa Jengo la Shirika la Elimu Kibaha, wakati akiwa katika ziara yake yaWilaya ya Kibaha mkoa wa Pwani leo Februari 04, 2012. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Elimu Kibaha, Dkt. Cyprian Mpemba.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muunganon wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitembelea na kukagua ndani ya jengo la Shirika la Elimu Kibaha, wakati alipokuwa katikaziara yake ya Wialaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani leo Februari 04, 2012
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikagua jengo la Taasisi ya utafiti wa maradhi ya Malaria, baada ya kuzindua jengo hilo wakatiakiwa katika ziara yake ya Wilaya ya Bagamoyo mkoa wa Pwani jana Februari 03, 2012. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Unachapa kazi kweli doc.hutaki masihara.Keep it up Bilal.ila pale Mlimani ulikuwa 'unakamata' kweli tunakukumbuka miaka ile.
ReplyDeleteKeep well.
David V
SANA TU JAMAA ANAPIGA MZIGO MYONGE MYONGENI LAKINI BASI HAKIYAKEE ...
ReplyDeleteLEBOZZ - Picha ya tatu
ReplyDeleteRais mtarajiwa hili halina ubishi! jamaa mjanja kweli, wengine wanamalizana wao kwa wao yeye buzy na kujitambulisha, mwisho wa siku wenye chama chao watasema bora tumsimamishe huyu hana makundi, ni mpeto tu.
ReplyDeleteMIMI NAJIULIZA, Mh huyu hana ofisi? mbona safari kila siku? na hatuoni akitoa maagizo ya kuonyesha alivyo na uchungu na nchi... kutembea tembea tu naona haitoshi, kukagua kagua maeneo tu naona haitoshi.. tunataka tusikie maelekezo kama ya waziri magufuli au ya waziri mwanri na ya yule chapa ngombe
ReplyDeleteUshamba na ulimbukeni huu. Unashindwa hata kutoa lebo?
ReplyDeleteAcheni ndoto za mchana ..tanzNia haijaishiwa watu ..Hadi kuongozwa na vikongwe.....tunajuwa anajitembeza mikoani Kama mkakati ....lakini kwa namna wazanzibar Wanavowachukulia watanganyika kwa sasa ..wasitegemee kutoa rais ..tena...
ReplyDeleteWalipoteza wenyewe fursa ya Salim..kwa chuki Zao......siku za karibuni watanganyika wanapata woga kuwaamini tena wazanzibar katakana na kauli za kihafidhina za viongozi wa SMZ ...