Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Wimbo una ujumbe mzuri sana.Naona jamaa alikuwa kalenga tu ujumbe,lakini sio uimbaji wala melody ya wimbo!,,Video nzuri,Jitahidi kwa mazoezi ya kuimba
    Ongera sana!

    ReplyDelete
  2. ujumbe murua kwa geshi ra porisi na jamii nzima ya Tanzania.

    ReplyDelete
  3. Hehehehe! nimecheka sana tena sana...Sharobaro, Mzee Mtanashati mpenda sheria... kwakweli nimependa wimbo na ujumbe wake sababu nimechoka na nyimbo za mapenzi ambazo vijana wa bongo flava ndio wanatoa kila siku... Nina swali moja sasa hao wakina dada wakatika viuno na geshi vimeingilianaje?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...