Nahodha wa DGC Ladies Golf Section, Vivienne Mwaulambo akipiga mpira wakati wa uzinduzi wa mashindano ya siku moja ya Gofu ya Lady Captains’ Trophy 2011 yaliyodhaminiwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa NBC, Mwinda Kiula-Mfugale, baadhi ya wachezaji na maofisa wa benki hiyo.
Mcheza gofu, Halima Mussa akipiga mpira wakati wa uzinduzi wa mashindano ya siku moja ya Gofu ya Lady Captains’ Trophy 2011 yaliyodhaminiwa na NBC jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NBC, Mwinda Kiula-Mfugale akijiandaa kupiga mpira wakati wa uzinduzi wa mashindano ya siku moja ya Gofu ya Lady Captains’ Trophy 2011 yaliyodhaminiwa na benki hiyo jijini Dar es Salaam leo. Wengine ni wachezaji na maofisa wa NBC.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Liban news,USA.February 27, 2012

    Nafurahi kuona jinsi kina mama mnavyojitahidi, keep it up!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...