Mabondia Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo' (kushoto) na Rashid Matumla 'Snake Boy' wakioneshana umwamba wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao uliochezwa Jumamosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam ambapo Matumla alishinda kwa pointi
Refarii Antoni Luta katikati akimnyoosha mkono juu bondia Rashidi Matumla kuashiria ushindi dhidi ya mpinzani wake maneno Osward kushoto wakati wa mpambano wao uliochezwa Jumamosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba Matumla alishinda kwa pointi.
Picha na www.superd boxingcoach.blogspot.com
Wote wachovu tuu, mambo Cheka bwana..
ReplyDelete