Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mhe. Bernard K. Membe akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kamisheni wa Umoja wa Afrika (AU). Wengine pichani ni Bi. Zuhura Bundala (kulia), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika wizarani na Bw. Assah Mwambene (kushoto), Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali wizarani. (Picha na Tagie Daisy Mwakawago wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa).
Home
Unlabelled
Mh. Membe akutana na waandishi wa habari kuzungumzia uchaguzi wa Mwenyekiti wa Kamisheni wa Umoja wa Afrika (AU)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...