Pastor Alan Desilver akiendesha ibada ya kumuaga mpendwa wetu, Christavina Cryor kwenye kanisa la Seventh Day Adventist, lililopo Takoma Park, Maryland, Mtaa wa Carroll.
Mume wa Marehemu, Lavorn Cryor akiongea machache kuhusu Christavina huku akiwa amembeba mtoto wao mdogo ambae alifikisha miaka 2 siku mbili baada ya kifo cha mama yake.
Kaka ya Marehemu, Boaz Kusaga akiongea machache kuhusu Christavina.
Michelle Hyason, mfanyakazi mwenzake na marehemu akiongea machache kuhusu Christavina.
Teddy Gallus, Rafiki ya marehemu akiongea machache kuhusu Christavina.
Shukurani Magoma, shemeji ya marehemu akisoma wasifu wa Christavina.
Kutoka kushoto ni Ghati Matinyi, Vickie Keita na Deborah Chemkaka wakiimba wimbo maalum kwa ajili ya marehemu.
Kushoto ni Mama mzazi wa Christavina aliyekuja toka Tanzania akiwa pamoja na Mume wa marehemu, Lavorn Cryor.
Kaka ya marehemu, Boaz Kusaga akiwa na Mama mzazi.
Kushoto ni Dada ya marehemu akiwa amembeba mwanae, mtoto wa kwanza wa Christavina wakiwa pamoja na mdogo wa marehemu.
Ndugu, marafiki na jamaa waliofika kwenye Ibada hiyo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. POLENI SANA MUNGU ATAWAPA NGUVU, NIKIANGALIA HAO WATOTO NAWAONEA HURUMA SANA. LAKINI NAAMINI MTAWAPA UPENDO MKUBWA NA USALAMA.
    I CANT EXPRES HOW I FEEL. WAKISS NA WAHAG HAO WOTOTO KWA NIABA YANGU.
    GOD BLESS YOU ALL

    ReplyDelete
  2. Mola amlaze mahali pema peopni marehemu.
    Ila jamani walikataza kupiga picha.

    ReplyDelete
  3. HONGERENI SANA WATANZANIA WASHINGTON DC KWA KUMSINDIKIZA MTANZANIA MWENZENU KEWNYE MAKAO YAKE YA MILELE.DUMISHENI MSHIKAMANO MLIONAO SIKU ZOTE KATIKA MATAMU NA MACHUNGU. NINAWAPONGEZA SANA KWA KUFANIKISHA MAZISHI YA NDUGU ZETU WATANO WALIOTUTANGUKIA KUANZIA JULAI MWAKA JANA HADI SASA. MUNGU ATAWAJAZA PALE MLIPONGUZA.hAKAKA MMEONYESHA MFANO WA KUIGWA.

    ReplyDelete
  4. Jamani inasikitisha sana. Dada huyu alikuwa kichwa sana pale st. Anthony na alikuwa Head girl wetu. R.I.P Christavina.

    ReplyDelete
  5. Poleni sana wafiwa,ndugu jamaa na marafiki..Tuko pamoja katika kipindi hiki kigumu.Amen

    David V

    ReplyDelete
  6. POLENI SANA WAFIWA NA MSIBA HUU, mUNGU AWATIE NGUVU, MAANA WOTE TUWAPITAJI AMETUTANGULIA MAAMA MWALIMU NA WANAO JIRANI YANGU , BWANA YESU AWAFARIJI MMALIZE SALAMA. SARAH

    ReplyDelete
  7. Poleni wafiwa na hasa mume uliyeachiwa watoto, M'Mungu akupe hekima na uvumilivu katika malezi ya wanao

    ReplyDelete
  8. Poleni wafiwa inatia huzuni sana hasa kwa sis wenye watoto wachanga tunafikiria mmoja wtu akitangulia watoto watakuaje?wataulizia mama yupo wapi baba yupo wapi,inatisha sana-Ndio maana Qur-an inasema

    "na waogope wale wenye familia endapo watatangulia mbele ya haki wakawacha nafsi zisizo na uwezo(watoto)basi na wafanye kumcha Mungu na waseme maneno mazuri"

    kwa kufanya hivo na watoto watafuata nyayo za wazazi na hii inakubaiana na mwana sayansi newton aliposema "tabia za kujitakia zinarithika"

    ReplyDelete
  9. poleni sana jamani nimemwangali mume wa marehemu na watoto nikapata uchungu mno.huyu dada mbona alikuwa mzima,hii nini jamani?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...