Jumuiya ya watanzania nchini Ugiriki inasikitika kutangaza kifo cha Mtanzania mwenzetu HAROUN ABDALLAH OTHMAN (Maarufu kwa jina la JAMHURI)kilichotokea hospitali ya Nikeas Piraeus J'mosi 18/2/2012. 

Marehemu kabla ya kuwasili ugiriki alikuwa ni mkaazi wa Kikwajuni Zanzibar. Hivi sasa tupo katika harakati za michango ya kutuwezesha kumsafirisha nyumbani.

Mwenyezi Mungu amlaze mahala pema peponi Amin.
INNA LILLAH WAINNA ILAIH RAAJIUUN

Kayu Ligopora
KATIBU MKUU
Jumuiya ya watanzania Ugiriki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Inna Lillah Wa Inna Illah Rajioun
    Hakika sisi kwake ni marejeo Inshallah Mwenyezimungu amuweke mahala pema peponi. yeye ametangulia na sisi tunafuatia. na Inshallah Mwenyezimungu awape moyo wa subira familia ya marehemu katika kipindi hiki kigumu.namkumbuka marehemu tulikua pamoja piraeus mwanzo wa miaka ya 80.
    mdau Leicester UK.

    ReplyDelete
  2. Mwenye enzi Mungu amlaze mahali pema peponi Amin. Atupe subira.


    Mama Dida

    ReplyDelete
  3. Inna lillahi wainna ilayhi rajiuin,Mungu amlaze mahala pema peponi,Poleni wana Jumuiya kazi ya Mungu..
    Mdau UK

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...