Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM Taifa,Mwigulu Nchemba akihutubia mkutano wa halmashauri kuu ya wilaya ya Arumeru kwa ajili ya kumpata mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki,kulia ni mjumbe wa NEC mkoa wa Arusha,Elishilia Kaaya na kushoto ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha
Mkuu wa Majeshi mstaafu,Jenerali Mirisho Sarakikya(kulia)akimsikiliza Katibu wa Uchumi na Fedha wa CCM taifa,Mwigulu Nchemba mara baada ya Nchemba kufungua mkutano wa kumpata mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki leo katika mjini mdogo wa Usa River,wengine ni mwenyekiti mstaafu wa CCM mkoa wa Arusha,Yona Nnko(mwenye kofia)akiteta jambo na mwenyekiti wa CCM mkoa wa Arusha Onesmo Ole Nangoro.Picha na Filbert Rweyemamu
Wajumbe wa mkutano wa Halmashauri kuu ya wilaya ya Arumeru wakifatilia kwa makini hotuba ya Katibu wa Uchumi na Fedha,Mwigulu Nchema katika mkutano wa kumpata mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki.Picha zote na mdau Filbert Rweyemamu
Kikwete yuko sahihi aliposema vijana waongezeke CCM, kwa style hii bora asikilizwe vinginevyo hamfiki ng'oooo
ReplyDelete