Mie ni mtanzania ninayeishi nje ya nchi nahitaji msaada wako kaka michuzi nna safari yangu ya kuelekea BEIJING China mnamo mwezi wa Tatu ili nikafanikishe kazi yangu mungu akijaalia ila nilipokwama saivi ni LUGHA ya kichina,kama yupo mtanzania anayeishi Beijing naomba nipate CONTACT zake ili niweze kuwasiliana nae na kufanikisha kazi yangu.
Ya kwangu ni Muradstz@hotmail.com
NATANGULIZA SHUKRANI ZANGU KWAKO NA MUNGU AKUJAALIE YOTE MEMA
WAKO MDAU MTANZANIA M.S
Wasiliana na Rosettastone.com. Wana nyenzo za haraka za kufundisha lugha mbalimbali duniani zikiwepo kichina, pamoja na kiswahili.
ReplyDeleteMimi nipo huku nabeba boksi na waspanish. Wiki sita baada ya kupata Rosetta hawanisengenyi tena na totoz zisizosema kiingereza hazinipiti.