Marehemu alikuwa akiishi Landover, MD. Ameacha mume na watoto  wawili- mvulana wa miaka 4 na msichana wa miaka 2. Alikuwa akisumbuliwa na cancer ya utumbo.

Mazishi yatafanyika Maryland, U.S.A. Tafadhali tusaidiane ili marehemu apumzishwe.Kwa mchango tafadhali fika nyumbani kwa marehemu  3237 75th Avenue, Landover, MD 20785 au tumia Capital one Bank, Account# 1351500235; Routing # 255071981.

Kwa habari zaidi mpigie: 
Magoma 202.607.1976; 
Adelaida 240.602.3183; 
Matinyi 301.792.2832; 
Mkakile 240.938.3177; 
Teddy 301.25441696; 
Makaya 202.460.1044; 
Latifah 240.603.7353. 


Asanteni sana kwa ushirikiano wenu katika wakati huu mgumu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. poleni sana, msiba huu umenisikitisha mno!

    ReplyDelete
  2. Nothing in this world can explain how great u was to us, very genuine person, Rest In Peace beautiful....u'll truly be missed head girl wetu St anthony's Sec School Mbagala 2001-2002, very very sad!

    ReplyDelete
  3. oooh My God huyu ni yule dada alikuwa head girl St. Anthony's Sec. School. R.I. P

    ReplyDelete
  4. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi Amen. Nami pia nimemkumbuka enzi zake ST. Anthony! Kweli binadamu ni kama maua.

    ReplyDelete
  5. Poleni wafiwa na Mola awape nguvu katika kipindi hiki cha maombolezo. Jamani tukiamua kuandika kiingereza basi tuandike kizuri.

    ReplyDelete
  6. Azza B. Nyamakababi
    Jinsi nilivyosikitika siwezi kuelezea.
    I have never been shocked this amount.
    Mungu ajuae sikitiko la mwanadamu awafariji family members and friends kwa njia yake isiyoweza kuigwa, inayotibu majonzi katika vilindi na vyanzo vya sikitiko.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...