Kaka Issa, aslaam aleikhum!

Ni mambo ya kujivunia kwa Rungwe Smallholders Tea Growers Association - RSTGA kwa kujenga na kuhamia katika ofisi zao mpya zilizopo Masoko Road Tukuyu. Kwa kweli Tukuyu inapendeza.

Mjomba Juma, Tukuyu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Congulaturation CHUWA BUILDING CONTRACTORS, UMETOA KITU
    By Chalamila J.

    ReplyDelete
  2. Ukubwa wa compound unaonyesha wazi kuwa ardhi si tatizo Tukuyu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...