Home
Unlabelled
mwali wa carling atiwa kibindoni bwawa la maini!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Kombe lenyewe kombe ka mbuzi! Watu tunabeba Barclay's.
ReplyDeleteClub ya kihistoria watasema sana kombe la mbuzi na ndiyo tumetoa nuksi hapo kaeni vizuri nyie machava....
ReplyDeletekwa kweli wale watoto walikaza sana lkn kombe lilikuwa letu.hawa wangekuwa ligi kuu timu kubwa zingepata tabu.ila cha kushangaza mechi iliyopita walifungwa na ipswich town 3-0
ReplyDeleteJamani watoto wa leo ongeleeni maendeleo ya nchi yenu sio vilabu vy wazungu hivi vitatupeleka wapi. Nyerere alisema tutatawaliwa mpaka nanihii zetu. Tunayaona bado tuhai.
ReplyDeleteShangwe ina wenyewe hata kama kombe la "kuku" mtakoma!!
ReplyDeleteThanks God.
ReplyDeleteCarlos Muhuga
Huu Ushindi Bwawa la Maini ni wa Ankal mwenyewe si ndio alikuwa huko UK amefunga bao Kombe Mkononi yeye akajikataa anangoja aitwe tena Kikosini amerudi Bongo!
ReplyDeleteKazi ya Liverpool hiyo, kuchukua makombe yasiyokuwa na kipaumbele kwa timu kubwa. Eti Gerrard anashangilia , shauri lako utabaki hapo hapo tu na kama unaendelea n Livepool basi tena hutofanikiwa kutwaa kombe la EPL.
ReplyDeletekombe la mbuzi? kwani man u anacheza kombe gani sasa hivi? we lazima utakuwa manu?
ReplyDeletekwahiyo kama nyerere alisema! sisi tufanye nini
ReplyDelete